Skip to main content

Posts

HABARI KATIKA PICHA

Aliewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Wabaptist Tanzania Mh Frank Mwaisumbe (Ambaye sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli) wakiwa pamoja na Mwangalizi Mkuu   

ORODHA YA VIONGOZI WALIOWAHI KUONGOZA KANISA LA WABAPTIST KITAIFA TANGU MWAKA 1971

  ORODHA YA VIONGOZI WALIOWAHI KUONGOZA KANISA LA WABAPTIST TANZANIA:   R Rev. Ishimael Sibale - mwaka 1971-1973 2.   Rev. Harry Mwasanjala - mwaka 1974-1979 3.   Rev. John Kupaza -mwaka 1980-1983 4.   Rev. Harry Mwasanjala-   mwaka 1983-1988 5.   Rev. Elias   Kashambagan - mwaka 1989-1992 6.   Rev. Harry Mwasanjala-mwaka   1993-1998 7.   Rev. Dr Edward Mwaijande -mwaka   1999-2004 8.   Rev. Harry Mwasanjala - mwaka 2005-2009 9.   Rev. Richard Mwaihuti -mwaka   2010-2014 1.  Rev. Arnold Manase -Mwaka   2014-2022 ................................................................................ MAKATIBU WAKUU WA KANISA: 1. Rev Harry Mwasanjala mwaka 1971 - 1973 2.   Rev Sylvester Ndagi -1974 – 1979 4. Bryson Mgaya 1980 – 1982- Mwanzo Kuitwa Katibu Mkuu huko nyuma waliitwa Waandishi. 5.   1982 – 1987- 6. Rev Hassan Lambart 1988 -   1994 7. Rev Robert Mu...

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAWAKE KANISA LA BAPTIST TANZANIA

 MKUTANO MKUU WA WANAWAKE KANISA LA WABAPTIST TANZANIA MWENYEKITI WA IDARA YA WANAWAKE KANISA LA WABAPTIST TANZANIA Anawatangazia wanawake wote kuwa Mkutano mkuu wa mwaka 2022, unatarajiwa kuanza  tarehe 7-10 September 2022  jijini Dodoma, wanawake wote kutoka makanisa yote ya Baptist Tanzania wanakumbushwa kuwasiliana na viongozi wa wa Kanda na Majimbo kwa ajili ya taarifa za uthibitisho wa tarehe na maandlizi ya kuja Dodoma.  Imetolewa na ofisi ya  KATIBU MKUU Dodoma

MKUTANO MKUU WA 13 WA VIJANA TAIFA 2022

Mkutano mkuu wa vijana wa Kanisa la Wabaptist  Tanzania. Mkutano wa 13 wa mwaka 2022 wa Idara ya Vijana Kanisa la Wabaptist Tanzania unatarajiwa kufanyika iringa tarehe 23-26 Juni 2022. Vjana wote wanashauriwa kuwasiliana na Viongozi wao wa Majimbo na Kanda kwa ajili ya kupata taarifa ndani kuhusiana na Mkutano huo.  Aidha mnajulishwa kuwa Juma la Vijana kitaifa kwa mwaka huu litafanyikia Sumbawanga Juma la mwisho la mwezi wa Mei 2022.   Kwa taarifa za mikutano mingine na matukio ya Vijana wa Kanisa la Wabaptist Tanzania tembelea tovuti yetu.  Imetolewa na Idara ya Vijana Kanisa la Wabaptist Tanzania

MKUTANO MKUU WA KANISA LA WABAPTIST MWAKA 2022

Baptists' Church of Tanzania  Annual General Meeting 2022 Date 5-8 July, 2022 « TUNA NGUVU KULIKO MWANZO                               MKUTANO MKUU WA KANISA LA WABAPTIST  TANZANIA TAREHE 5-8 JULAI  MWAKA 2022 Coming soon! MKUTANO UNAFANYIKIA JIJINI DODOMA  Kiingilio kila kanisa 100,000/=  Kila mjumbe 60,000/= HUU NI MKUTANO WA 46  WA KANISA, UTAKAOSHUHUDIWA NA MAMIA YA WAJUMBE KUTOKA MAKANISANI. KILA KANISA LINATARAJIWA KUTUMA WAJUMBE WATATU.  MKUTANO HUU UTAKUWA NI WA UCHGUZI MKUU WA VIONGOZI WA KANISA NGZI YA TAIFA   For more details call General Secretary office at +255787118575   

WABAPTIST WALIFANYA MAAMUZI MBEYA MWAKA 2015

 Viongozi wakuu wastaafu wa Jumuiya Kuu ya Wabaptist wa Tnzania Kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa taifa Mch Harry Mwasanjala, anaefuata ni Rev Arnold Manase Mwenyekiti wa Jumuiya Kuu wa sasa, wa tatu ni Rev Dr Edward Mwaijande mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya Kuu, na kulia ni Kiongozi mstaafu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mch A. Maboko wakiwa kweye picha ya pamoja mara baada ya kupitisha katiba mjini Mbeya. Mkutano wa mwaka uliohudhuriwa na zaidi ya wajumbe 230 kutoka nchi nzima.  Wachungaji toka kila mkoa wakiinua mikono yao, huku wakifuatilia na kukubaliana kwa pamoja kwenye mkutano wa mwaka.  Zilikuwa siku tatu za bunge la Wabaptist wa Tanzania za kuchambua rasimu ya katiba kifungu hadi kifungu.  Rev Kelly Zeramula akiwaongoza wachungaji maombi picha ya chini ni Mzee Patrick Sombe  Mwenyekiti wa Halmshauri ya Chuo Kikuu cha Mount Meru University akishiriki mkutano mkuu.  Rev Mch Arnold Manase akifunga mkutano wa katiba hapa chuo cha TE...

Current Leaders

BAPTISTS' CHURCH OF TANZANIA  CURRENT LEADERS: Executive Office Bearers:               1. Rev Arnold Manase Mollel     - General Overseer of Baptists' Church  of Tanzania                           2. Rev Dickson A. Mwankanda       - Vice General Overseer  of Baptists' Church of Tanzania                 3. Rev Michael Peter Nhonya        - General Secretary of Baptists' Church of Tanzania                4. Rev Amri Msabila Kihumbi     - Assistant Secretary of Baptist's Church of Tanzania   5. Mrs Atupele Banda Kyando       - Treasurer of Baptists' Church  of Tanzani    6. Mr. Simon Runda Marivey      -Assistant Treasurer of Baptists' of Tanzania ...