Skip to main content

WABAPTIST WALIFANYA MAAMUZI MBEYA MWAKA 2015

 Viongozi wakuu wastaafu wa Jumuiya Kuu ya Wabaptist wa Tnzania Kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa taifa Mch Harry Mwasanjala, anaefuata ni Rev Arnold Manase Mwenyekiti wa Jumuiya Kuu wa sasa, wa tatu ni Rev Dr Edward Mwaijande mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya Kuu, na kulia ni Kiongozi mstaafu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mch A. Maboko wakiwa kweye picha ya pamoja mara baada ya kupitisha katiba mjini Mbeya. Mkutano wa mwaka uliohudhuriwa na zaidi ya wajumbe 230 kutoka nchi nzima.
 Wachungaji toka kila mkoa wakiinua mikono yao, huku wakifuatilia na kukubaliana kwa pamoja kwenye mkutano wa mwaka.
 Zilikuwa siku tatu za bunge la Wabaptist wa Tanzania za kuchambua rasimu ya katiba kifungu hadi kifungu.

 Rev Kelly Zeramula akiwaongoza wachungaji maombi picha ya chini ni Mzee Patrick Sombe  Mwenyekiti wa Halmshauri ya Chuo Kikuu cha Mount Meru University akishiriki mkutano mkuu.

 Rev Mch Arnold Manase akifunga mkutano wa katiba hapa chuo cha TEKU Mjini Mbeya


 Trassasese Novart katibu mkuu wa BCT akiwatafsiri wachungaji kutoka Naigeria waliokuja kuungana na Wabaptist wa Tanzania kushuhudia mchakato wa katiba.

Comments

Popular posts from this blog

Viongozi Wakuu Kanisa la Baptist Tanzania Wakiwa Ikulu na Makamu wa Rais wa Tanzania

Dr Philipo Isidory Mpango Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akutana na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Wabaptist Tanzania Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Viongozi hawa walipata fursa kuzungumzi mswala mbalimbali ya Nchi na Ustawi wa Taifa la Tanzania.   

Picha na Matukio Mkutano Mkuu wa Wabaptist Tanzania 2020 Jijini Arusha

  DIRA YA UONGOZI HUU WA AWAMU YA 10 CHINI YA MWANGALIZI MKUU REV ARNOLD MANASE  NI: “KUJENGA KANISA LENYE NGUVU KIROHO, KIIDADI, NA KIUCHUMI.”

PICHA NA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

  Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Prof Palamagamba Kabudi Mwaluko katika Hafla ya Usimikaji Viongozi wa Kanda PWANI & KATI Jijini Dar es Salaam (wa tatu katika kati)