Baptists' Church of Tanzania
Annual General Meeting 2022
Date 5-8 July, 2022
« TUNA NGUVU KULIKO MWANZO
MKUTANO MKUU WA KANISA LA WABAPTIST TANZANIA TAREHE 5-8 JULAI MWAKA 2022
Coming soon!
MKUTANO UNAFANYIKIA JIJINI DODOMA
Kiingilio kila kanisa 100,000/=
Kila mjumbe 60,000/=
HUU NI MKUTANO WA 46 WA KANISA, UTAKAOSHUHUDIWA NA MAMIA YA WAJUMBE KUTOKA MAKANISANI. KILA KANISA LINATARAJIWA KUTUMA WAJUMBE WATATU.
MKUTANO HUU UTAKUWA NI WA UCHGUZI MKUU WA VIONGOZI WA KANISA NGZI YA TAIFA
For more details call General Secretary office at +255787118575
Sounds nice GS. God bless you. I pray for more members to attend this Annual General Meeting (AGM) at MMU Arusha.
ReplyDelete