Skip to main content

MKUTANO MKUU WA 13 WA VIJANA TAIFA 2022

Mkutano mkuu wa vijana wa Kanisa la Wabaptist  Tanzania. Mkutano wa 13 wa mwaka 2022 wa Idara ya Vijana Kanisa la Wabaptist Tanzania unatarajiwa kufanyika iringa tarehe 23-26 Juni 2022.

Vjana wote wanashauriwa kuwasiliana na Viongozi wao wa Majimbo na Kanda kwa ajili ya kupata taarifa ndani kuhusiana na Mkutano huo. 

Aidha mnajulishwa kuwa Juma la Vijana kitaifa kwa mwaka huu litafanyikia Sumbawanga Juma la mwisho la mwezi wa Mei 2022.   Kwa taarifa za mikutano mingine na matukio ya Vijana wa Kanisa la Wabaptist Tanzania tembelea tovuti yetu. 

Imetolewa na Idara ya Vijana Kanisa la Wabaptist Tanzania

Comments

Popular posts from this blog

Viongozi Wakuu Kanisa la Baptist Tanzania Wakiwa Ikulu na Makamu wa Rais wa Tanzania

Dr Philipo Isidory Mpango Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akutana na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Wabaptist Tanzania Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Viongozi hawa walipata fursa kuzungumzi mswala mbalimbali ya Nchi na Ustawi wa Taifa la Tanzania.   

Picha na Matukio Mkutano Mkuu wa Wabaptist Tanzania 2020 Jijini Arusha

  DIRA YA UONGOZI HUU WA AWAMU YA 10 CHINI YA MWANGALIZI MKUU REV ARNOLD MANASE  NI: “KUJENGA KANISA LENYE NGUVU KIROHO, KIIDADI, NA KIUCHUMI.”

PICHA NA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

  Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Prof Palamagamba Kabudi Mwaluko katika Hafla ya Usimikaji Viongozi wa Kanda PWANI & KATI Jijini Dar es Salaam (wa tatu katika kati)