Skip to main content

ORODHA YA VIONGOZI WALIOWAHI KUONGOZA KANISA LA WABAPTIST KITAIFA TANGU MWAKA 1971

 

ORODHA YA VIONGOZI WALIOWAHI KUONGOZA

KANISA LA WABAPTIST TANZANIA:

 

R Rev. Ishimael Sibale - mwaka 1971-1973

2.  Rev. Harry Mwasanjala - mwaka 1974-1979

3.  Rev. John Kupaza -mwaka 1980-1983

4.  Rev. Harry Mwasanjala-  mwaka 1983-1988

5.  Rev. Elias  Kashambagan - mwaka 1989-1992

6.  Rev. Harry Mwasanjala-mwaka  1993-1998

7.  Rev. Dr Edward Mwaijande -mwaka  1999-2004

8.  Rev. Harry Mwasanjala - mwaka 2005-2009

9.  Rev. Richard Mwaihuti -mwaka  2010-2014

1. Rev. Arnold Manase -Mwaka  2014-2022

................................................................................

MAKATIBU WAKUU WA KANISA:

1. Rev Harry Mwasanjala mwaka 1971 - 1973

2.  Rev Sylvester Ndagi -1974 – 1979

4. Bryson Mgaya 1980 – 1982- Mwanzo Kuitwa Katibu Mkuu huko nyuma waliitwa Waandishi.

5.  1982 – 1987-

6. Rev Hassan Lambart 1988 -  1994

7. Rev Robert Mutta- 1995-1997

8. Frank James Mwaisumbe -1997-2004

9. Rev Ernest Sumisumi 2006-2014

10. Rev Trassasse Novart- 2014-2018

11. Rev Michael Nhonya- 2018-2022


Comments

Popular posts from this blog

Viongozi Wakuu Kanisa la Baptist Tanzania Wakiwa Ikulu na Makamu wa Rais wa Tanzania

Dr Philipo Isidory Mpango Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akutana na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Wabaptist Tanzania Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Viongozi hawa walipata fursa kuzungumzi mswala mbalimbali ya Nchi na Ustawi wa Taifa la Tanzania.   

Picha na Matukio Mkutano Mkuu wa Wabaptist Tanzania 2020 Jijini Arusha

  DIRA YA UONGOZI HUU WA AWAMU YA 10 CHINI YA MWANGALIZI MKUU REV ARNOLD MANASE  NI: “KUJENGA KANISA LENYE NGUVU KIROHO, KIIDADI, NA KIUCHUMI.”

PICHA NA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

  Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Prof Palamagamba Kabudi Mwaluko katika Hafla ya Usimikaji Viongozi wa Kanda PWANI & KATI Jijini Dar es Salaam (wa tatu katika kati)