MKUTANO MKUU WA WANAWAKE KANISA LA WABAPTIST TANZANIA
MWENYEKITI WA IDARA YA WANAWAKE KANISA LA WABAPTIST TANZANIA
Anawatangazia wanawake wote kuwa Mkutano mkuu wa mwaka 2022, unatarajiwa kuanza tarehe 7-10 September 2022 jijini Dodoma, wanawake wote kutoka makanisa yote ya Baptist Tanzania wanakumbushwa kuwasiliana na viongozi wa wa Kanda na Majimbo kwa ajili ya taarifa za uthibitisho wa tarehe na maandlizi ya kuja Dodoma.
Imetolewa na ofisi ya
KATIBU MKUU
Dodoma
Comments
Post a Comment