Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2021

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAWAKE KANISA LA BAPTIST TANZANIA

 MKUTANO MKUU WA WANAWAKE KANISA LA WABAPTIST TANZANIA MWENYEKITI WA IDARA YA WANAWAKE KANISA LA WABAPTIST TANZANIA Anawatangazia wanawake wote kuwa Mkutano mkuu wa mwaka 2022, unatarajiwa kuanza  tarehe 7-10 September 2022  jijini Dodoma, wanawake wote kutoka makanisa yote ya Baptist Tanzania wanakumbushwa kuwasiliana na viongozi wa wa Kanda na Majimbo kwa ajili ya taarifa za uthibitisho wa tarehe na maandlizi ya kuja Dodoma.  Imetolewa na ofisi ya  KATIBU MKUU Dodoma