Mkutano mkuu wa vijana wa Kanisa la Wabaptist Tanzania. Mkutano wa 13 wa mwaka 2022 wa Idara ya Vijana Kanisa la Wabaptist Tanzania unatarajiwa kufanyika iringa tarehe 23-26 Juni 2022. Vjana wote wanashauriwa kuwasiliana na Viongozi wao wa Majimbo na Kanda kwa ajili ya kupata taarifa ndani kuhusiana na Mkutano huo. Aidha mnajulishwa kuwa Juma la Vijana kitaifa kwa mwaka huu litafanyikia Sumbawanga Juma la mwisho la mwezi wa Mei 2022. Kwa taarifa za mikutano mingine na matukio ya Vijana wa Kanisa la Wabaptist Tanzania tembelea tovuti yetu. Imetolewa na Idara ya Vijana Kanisa la Wabaptist Tanzania
Welcome to our website! Whether you are looking for a church home, for information about how to become a Christian, or if you just happened across this site, we are glad you’re here! In this website you will get info about our churches and the work of Baptists in Tanzania. HEAD OFFICE: Makole Dodoma PO.BOX 489 DODOMA TANZANIA Email: bctchurches@gmail.com +255787118575