Viongozi wakuu wastaafu wa Jumuiya Kuu ya Wabaptist wa Tnzania Kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa taifa Mch Harry Mwasanjala, anaefuata ni Rev Arnold Manase Mwenyekiti wa Jumuiya Kuu wa sasa, wa tatu ni Rev Dr Edward Mwaijande mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya Kuu, na kulia ni Kiongozi mstaafu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mch A. Maboko wakiwa kweye picha ya pamoja mara baada ya kupitisha katiba mjini Mbeya. Mkutano wa mwaka uliohudhuriwa na zaidi ya wajumbe 230 kutoka nchi nzima. Wachungaji toka kila mkoa wakiinua mikono yao, huku wakifuatilia na kukubaliana kwa pamoja kwenye mkutano wa mwaka. Zilikuwa siku tatu za bunge la Wabaptist wa Tanzania za kuchambua rasimu ya katiba kifungu hadi kifungu. Rev Kelly Zeramula akiwaongoza wachungaji maombi picha ya chini ni Mzee Patrick Sombe Mwenyekiti wa Halmshauri ya Chuo Kikuu cha Mount Meru University akishiriki mkutano mkuu. Rev Mch Arnold Manase akifunga mkutano wa katiba hapa chuo cha TE...
Welcome to our website! Whether you are looking for a church home, for information about how to become a Christian, or if you just happened across this site, we are glad you’re here! In this website you will get info about our churches and the work of Baptists in Tanzania. HEAD OFFICE: Makole Dodoma PO.BOX 489 DODOMA TANZANIA Email: bctchurches@gmail.com +255787118575