Mwangalizi wa Jumuiya Kuu Wabaptist wa TZ Rev Arnold Manase akiwa na Mhubiri wa Kimataifa Mjukuu wa Bill Graham, Rev Dr Will F. Graham kutoka Marekani alipokuja kuhubiri Arusha na Kukutana na Wabaptist wa Arusha tarehe 26 June 2015.
Baadhi ya Wachungaji wa Kanda ya Kaskazini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Dr Will Graham
Picha chini ni baadhi ya wanawake wakimpatia zawadi Dr Graham kwa niaba ya Idara ya wanawake BCT
Baadhi ya Wachungaji wa Kanda ya Kaskazini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Dr Will Graham
Picha chini ni baadhi ya wanawake wakimpatia zawadi Dr Graham kwa niaba ya Idara ya wanawake BCT
Comments
Post a Comment