Skip to main content

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAWAKE KANISA LA BAPTIST TANZANIA

 MKUTANO MKUU WA WANAWAKE KANISA LA WABAPTIST TANZANIA

MWENYEKITI WA IDARA YA WANAWAKE KANISA LA WABAPTIST TANZANIA

Anawatangazia wanawake wote kuwa Mkutano mkuu wa mwaka 2022, unatarajiwa kuanza  tarehe 7-10 September 2022  jijini Dodoma, wanawake wote kutoka makanisa yote ya Baptist Tanzania wanakumbushwa kuwasiliana na viongozi wa wa Kanda na Majimbo kwa ajili ya taarifa za uthibitisho wa tarehe na maandlizi ya kuja Dodoma. 


Imetolewa na ofisi ya 

KATIBU MKUU

Dodoma

Comments